#COVID19 Baada ya Joe Biden kupata COVID, Makam wa Rai aongezewa ulinzi

#COVID19 Baada ya Joe Biden kupata COVID, Makam wa Rai aongezewa ulinzi

Biden alishapata chanjo mbili za covid 19 na booster mbili za covid 19, lakini covid kamtembelea!! Leo katega tena bega!

View attachment 2299222
Hapa Tz Mungu ni mwema sana!! Tulimtanguliza Mungu wakati wao walitanguliza mwanadamu na sayansi!! Sisi asilimia zaidi ya 90 hawana chanjo hata moja lakini Mungu alituponya na tunampa utukufu wote!
Alafu hawana afya ya akili...mawazo ya wao ni Kama watu wafu tu. Then unasherekea kisa unavuta hewa.

Wenzako wanaamini wanasayansi ndiyo maana unatumia teknolojia kwenda kutafuta chakula japo pia simu za wanasayansi unazitumia.
 
Wanataka kukaua kazee ka-watu

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Then Wana singizia covid
 
Back
Top Bottom