Biden alishapata chanjo mbili za covid 19 na booster mbili za covid 19, lakini covid kamtembelea!! Leo katega tena bega!
View attachment 2299222
Hapa Tz Mungu ni mwema sana!! Tulimtanguliza Mungu wakati wao walitanguliza mwanadamu na sayansi!! Sisi asilimia zaidi ya 90 hawana chanjo hata moja lakini Mungu alituponya na tunampa utukufu wote!