mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Toka kipindi cha kwanza hadi mpira unaisha naona comment nyingi zikiwa zinaelekeza lawama kwa wachezaji
Mzamiru Yasin na John Bocco
Napenda kuuliza hivi ni nini kosa lao?Maana huwa wanajituma lakini wengi wa mashabiki huwa hawataki kuwasikia.
Maoni yangu kwa mechi ya Leo alietua ni refa.
Japo wachezaji Rally Bwalya na kondeboy hawakuwa kwenye peak hasa first half
Pia kocha aone umuhimu wa kuanza na two natural winger maana angeanza Dilunga au kahata tunge tengeneza nafasi zaidi
Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
Kwa majeruhi hayo yote umlaumu nani?Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
Sizani maana kama nafasi zao zinatakiwa zizibwe na wazawa na wazawa wenyewe ndio akina farid Musa anakosa goli yeye na nyavu naona hatuhitaji tena usajili wa ndani maana tulionao ni bora zaidiDilunga huyu huyu..
Hata mzamiru muda wao ndani ya simba inabidi ukome..
Match moja wanabahatisha
Wakipangwa nyingine wanacheza hovyo
Ukishakuwa utopolo na akili inafuata mkondo huohuo watu mmebebwa Alaf bado unaropokaLeo mlikua mnakufa
Mna bahati sana, dadek eti pila birian.
Mtateseka sana msimu huu
Tumewaonesha leo kuwa kimataifa mtakula tano tano za kutosha na kikosi chenu kibovu
Hakika ww unaujua mpira!Wenzako wanakomaa na refa na hawaoni ukuta mbovu wa Simba.Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
Muulize Metacha goli alilokula la babu Onyango.Timu bovu limejaaebvikongwe
Hata mimi huwa najiuliza mzawa gani asajiliwe wa kuziba nafasi ila nakosaSizani maana kama nafasi zao zinatakiwa zizibwe na wazawa na wazawa wenyewe ndio akina farid Musa anakosa goli yeye na nyavu naona hatuhitaji tena usajili wa ndani maana tulionao ni bora zaidi
Mmpeta nafasi moja tu ya wazi aliyokosa Farid...Leo mlikua mnakufa
Mna bahati sana, dadek eti pila birian.
Mtateseka sana msimu huu
Tumewaonesha leo kuwa kimataifa mtakula tano tano za kutosha na kikosi chenu kibovu
Kagere na Fraga ndio watu muhimu waliokosekana, ulitaka kocha afanyeje mkuu?Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
Tukutane championship, zile hamsa hamsa zinarudi tena!Toka kipindi cha kwanza hadi mpira unaisha naona comment nyingi zikiwa zinaelekeza lawama kwa wachezaji
Mzamiru Yasin na John Bocco
Napenda kuuliza hivi ni nini kosa lao?Maana huwa wanajituma lakini wengi wa mashabiki huwa hawataki kuwasikia.
Maoni yangu kwa mechi ya Leo alietua ni refa.
Japo wachezaji Rally Bwalya na kondeboy hawakuwa kwenye peak hasa first half
Pia kocha aone umuhimu wa kuanza na two natural winger maana angeanza Dilunga au kahata tunge tengeneza nafasi zaidi
Tukutane championship, zile hamsa hamsa zinarudi tena!
Kwani nyie mnashiriki championship ya wapiTukutane championship, zile hamsa hamsa zinarudi tena!