Baada ya k/koo derby :Mashabiki wa simba tunakwama wapi?

Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
Yule msemaji wetu si alituambia tuna kikosi kipana!

Shukrani kwa Masau Bwire kwa kutolea ufafanuzi wa kikosi kipana.

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
Mnamtaka kocha gani?
 
Mimi mshabiki wa Simba sikuona mechi yote ila nimeona highlight magoal tu ile penalty nadhani haina mashaka, ila napenda kuuliza tu sio kwa ubaya hivi Boco ana miaka mingapi kwa sasa maana navyojuwa huyu alicheze Azam bado hata hawajapanda daraja alicheza muda mrefu sana na kaja Simba ana miaka anaweza kugonga 34. nauliza tu maana ni Tanzania tu na Africa wachezaji hawaweki miaka yao halisi kama nchi za ulaya.
 
Kagere na Fraga ndio watu muhimu waliokosekana, ulitaka kocha afanyeje mkuu?
Huyo Chama amexheza kwa kumfosi tu hayuko fit.

Watu wanasahau kikosi kimejaa majerui.

Mkuu wakumbushe hatujawai kusajili mchezaji kwa kuvunja mkataba.

Wachezaji tulio nao ndio hao hao uwezo wao

Tunasajili wachezaji walio maliza mikataba au wako free agent.
 
Mikia mnatafuta wachawi nje ya team wakati wachawi wapo katikati yenu ndani ya team
 
Mimi mshabiki wa Simba sikuona mechi yote ila nimeona highlight magoal tu ile penalty nadhani haina mashaka, ila napenda kuuliza tu sio kwa ubaya hivi Boco ana miaka mingapi kwa sasa maana navyojuwa huyu alicheze Azam bado hata hawajapanda daraja alicheza muda mrefu sana na kaja Simba ana miaka anaweza kugonga 34. nauliza tu maana ni Tanzania tu na Africa wachezaji hawaweki miaka yao halisi kama nchi za ulaya.
Kwa Bocco tusitarajie makubwa.

Nafasi tano anaweza asifunge hata moja.
 
Huyo Chama amexheza kwa kumfosi tu hayuko fit.

Watu wanasahau kikosi kimejaa majerui.

Mkuu wakumbushe hatujawai kusajili mchezaji kwa kuvunja mkataba.

Wachezaji tulio nao ndio hao hao uwezo wao

Tunasajili wachezaji walio maliza mikataba au wako free agent.
Wabongo tunataka ulaya iwe bongo.
 
Back
Top Bottom