Yule msemaji wetu si alituambia tuna kikosi kipana!Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
Uneducated, manyani, majibwa mnabweka baada ya kupata drawMashabiki wa simba wengi viazi mbatata
Mnamtaka kocha gani?Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
Huyo Chama amexheza kwa kumfosi tu hayuko fit.Kagere na Fraga ndio watu muhimu waliokosekana, ulitaka kocha afanyeje mkuu?
Kwa Bocco tusitarajie makubwa.Mimi mshabiki wa Simba sikuona mechi yote ila nimeona highlight magoal tu ile penalty nadhani haina mashaka, ila napenda kuuliza tu sio kwa ubaya hivi Boco ana miaka mingapi kwa sasa maana navyojuwa huyu alicheze Azam bado hata hawajapanda daraja alicheza muda mrefu sana na kaja Simba ana miaka anaweza kugonga 34. nauliza tu maana ni Tanzania tu na Africa wachezaji hawaweki miaka yao halisi kama nchi za ulaya.
Wabongo tunataka ulaya iwe bongo.Huyo Chama amexheza kwa kumfosi tu hayuko fit.
Watu wanasahau kikosi kimejaa majerui.
Mkuu wakumbushe hatujawai kusajili mchezaji kwa kuvunja mkataba.
Wachezaji tulio nao ndio hao hao uwezo wao
Tunasajili wachezaji walio maliza mikataba au wako free agent.
Bila cr refa mngekuwa mnaongea hiviLeo mlikua mnakufa
Mna bahati sana, dadek eti pila birian.
Mtateseka sana msimu huu
Tumewaonesha leo kuwa kimataifa mtakula tano tano za kutosha na kikosi chenu kibovu