Uhusiano kati ya China na Tanzania umekuwa ni wa muda mrefu tangu Tanzania ipate Uhuru
China imekuwa mstari wa mbele kusahihisha makosa yake ya Kibiashara yanayotokea Tanzania
Kampuni ya ByteDance imeamua kuchutama ili kuondolewa zuio la TikTok lililodumu kwa muda mrefu
Makosa ya TikTok yalikuwa ya kukumbatia uchochezi si sawa na ya X ambayo yamekuwa yakusambaza ngono
Mamlaka za Tanzania ziliitaka kampuni ya X Corp kuondoa maudhui hayo kwani hayakubaliki na tamaduni za Tanzania lakini kampuni hiyo ilishupaza shingo
Kutokana na makubaliano ya kampuni ya ByteDance na mamlaka ya Tanzania itakua ni makosa makubwa sana kwa watumiaji wake kujaribu kuvunja Sheria ya Mitandao ya Kijamii kwani kampuni ya ByteDance itashirikiana na mamlaka za Tanzania kutoa adhabu kwa watumiaji hao