Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

Halafu hii vita ilikuwa inaepukika kabisa, Zelensky alipoambiwa usijiunge NATO angesikiliza, haya yote yasingemkuta, sababu kuna mikataba tangu enzi ya Gorbachev kwamba NATO haitafika pande hizo
sasa anakiona cha moto, na USA wanataka kupunguza kupunguza ruzuku yao kwa NATO ndio so hiyo NATO itayumba bila pesa ya USA
Zelensky alidanganywa sasa yuko peke yake vitani, anapata msg za yuko pamoja
Ila anapigana yeye
 
Wewe kama hujui kitu unakaa kimyaa, ni wapi Zelensk aliambiwa asijiunge NATO? Mwaka 2014 wakati Urusi inachukua rasi ya krimea Zelensk alikuwa Rais? Unafahamu makubaliano ya Budapest Memorendam? Acheni ujuaji
 
Nchini Urusi kuna historia ndefu sana ya tangu zamani Sana kuhusiana na suala la kuwepo kwa Utawala wa mabavu na wa kikatili, usiokuwa wa Haki, ambao hauzingatii Haki za binadamu, demokrasia, Wala kujali Uhuru wa Watu.

In Russia, There is a serious problem of the Dictatorship Regime that amongst the most brutal and repressive Regine in the world.
Kumbuka historia ndefu ya madhila na misukosuko ambayo Wananchi wengi zaidi wa huko Urusi (USSR) waliyopitia chini ya Utawala wa nchi hiyo enzi hizo chini ya Mamlaka za Ujasusi wa nchi hiyo ambayo inaitwa KGB, sasa hivi inaitwa FSB.

Kimsingi, unapaswa utambue ya kwamba, ndani ya nchi hiyo ya Urusi tangu zamani Sana kumekuwa na tatizo sugu Sana la Watu wa majimbo mbalimbali kwenye nchi hiyo kutaka kujitenga na kujitegemea wao wenyewe wakiwa katika nchi huru. Tatizo hilo la kutaka kujitenga na Urusi huko Ulaya ya Mashariki linafahamika Sana kwa jina la "SEPARATISTS," kwa wale watu waliopo Urusi au ambao wamewahi kuwepo Urusi nafikiri wanalijua vizuri Sana jambo hili.
Majimbo yaliyomegwa na Russia si walipiga kura kujiunga na Russia
 
Back
Top Bottom