Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

Halafu hii vita ilikuwa inaepukika kabisa, Zelensky alipoambiwa usijiunge NATO angesikiliza, haya yote yasingemkuta, sababu kuna mikataba tangu enzi ya Gorbachev kwamba NATO haitafika pande hizo
sasa anakiona cha moto, na USA wanataka kupunguza kupunguza ruzuku yao kwa NATO ndio so hiyo NATO itayumba bila pesa ya USA
Zelensky alidanganywa sasa yuko peke yake vitani, anapata msg za yuko pamoja
Ila anapigana yeye
 
Wewe kama hujui kitu unakaa kimyaa, ni wapi Zelensk aliambiwa asijiunge NATO? Mwaka 2014 wakati Urusi inachukua rasi ya krimea Zelensk alikuwa Rais? Unafahamu makubaliano ya Budapest Memorendam? Acheni ujuaji
 
Majimbo yaliyomegwa na Russia si walipiga kura kujiunga na Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…