The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Sema baada ya Polepole sasaWazungu linapotekea jambo la muendelezo huwa wanamsemo wao maarufu who is a next? Wakiwa na maana nan anafuata.
Ndio macho na masikio ya watanzania sasa yatakua wazi mda wote kusikiliza nan anafata badala ya aliekua wazir mkuu kasim majaliwa na vice president mpango na balozi wa Tz Cuba Humphrey polepole kujiondoa katika serekali ya ccm na Samia.
Ww ni naniMm HAPA.
Kazi ni kipimo cha utu
Mda utatoa majibuSwali gumu
Code ngumu hiiKabla ya uchaguzi DG wa “Meno” atapangiwa majukumu mengine
Nani mombo?Code ngumu hii