Baada ya Katalonya, sasa ni Kisumu, Migori, Homabay na Siaya

Kwahiyo hizo county nne za wajaluo zikijitenga uchumi wa kenya hautaathirika kwa lolote?


Wakijitenga Leo watakufa njaa kesho,
hakuna ukulima wa maana ambao hufanyika kule luo nyanza,pili wanategemea food kutoka rift valley, western province and nyanza kisii, the said counties are some of the poorest . Umeuliza kama uchumi wa Kenya utaathirika? ndio utaathirika japo kwa kiwango kidogo tu kumbuka bado watabaki East Africa community, and will provide a good consumer market in fact Kenya will reap more than it does now.
 
Iddi amin Dada.

[emoji51] [emoji16] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
KENYA NI MOJA, WASIKUBALI KUGAWANYWA NA WAROHO WA MADARAKA
 
Economically, Kisumu reads 3rd after Nairobi and Mombasa, so make comparison to what extent Kenya will be affected after four western counties to Isolate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…