Baada ya Kauli hii ya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kumhusu Chama je, Wanasimba wakiambiwa hawajui Kufikiri watakataa na watanuna?

Hili jamaa puuzi kweli. Linajifanya liko mbele ya kila kitu. Ngoja kwanza tumchongee kwa moderators ale ban kwa matusi anayoporomoshea watu.
 
Kwa hiyo Chama amezuia waliopo wengine kucheza?
 
We bottom ujapata tu Top wakukutoa tope Hilo? We unaacha kufuatilia timu yako ya yanga,upo bize na simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…