Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Chama amezuia waliopo wengine kucheza?"Nimekuwa nikiulizwa sana hili Swali kama Chama kuanzia sasa atacheza Michuano hii ya Kimataifa naomba niseme Chama hatocheza Michuano hii ya Kimataifa" ameandika Ahmed Ally ( Mkuu wa Mawasiliano na Habari wa Simba SC ) katika Ukurasa wake wa Mtandao.
Sasa kama Viongozi wa Simba SC walilijua hilo huku wakijua kuwa bado wanashiriki Michuano ya Kimataifa kwanini tu wasingeachana na Chama ambaye ni kama wamemsajili aje kutuchezea tu Ligi Kuu na Nafasi yake Simba SC ingemtafuta Mchezaji mahiri wa Kutusaidia katika Michuano hii ya Kimataifa?
Kama tayari Chama alishaonyesha 'interest' ya kurejea Simba SC kwanini tu Klabu isingemuomba aendelee kubakia RS Berkane mpaka Msimu unaisha ndipo arejeshwe akiwa Huru kabisa hata Kucheza Michuano hii ya Kimataifa kuliko Kumleta kama alivyo sasa na kuonekana ni kama tu kaja Kucheza 'Ndondo Cup' Tanzania?
Yaani Presha ya Chama kutakiwa na Yanga SC ndiyo imewafanya Viongozi wa Simba SC wamsajili / wamrudishe Klabuni Chama ili kukwepa lawama za Mashabiki na kukubali kama hivi alivyokiri Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kuwa hatocheza Michuano ya Kimataifa ila ya Ligi Kuu na ile ya ASFC ndiyo atacheza?
Halafu kwa Upuuzi ( Upopoma ) huu GENTAMYCINE nikiwasema Simba SC naonekana Mbaya, Mnafiki mpaka hata Kuhusishwa kuwa Mimi ni mwana Yanga SC? Hivi wana Simba SC mkiacha kabisa Unafiki na Mahaba Niue yenu kwa Simba SC kwa hili la Chama kurejea na Kucheza tu Michuano ya Ligi Kuu na ile ya ASFC labda na Mapinduzi Cup huku akiwa hatumiki / hatotumka katika Michuano ya Kimataifa kwa sasa kama alivyokiri Msemaji Wetu Ahmed Ally hapa imetumika Akili Kubwa au ni Uthibitisho rasmi kuwa Sisi ni Mapopoma na tunastahili Kudharauliwa na Wapinzani Wetu Yanga SC?
Nichukieni ila sitoacha Kuwaelimisheni.
We bottom ujapata tu Top wakukutoa tope Hilo? We unaacha kufuatilia timu yako ya yanga,upo bize na simba"Nimekuwa nikiulizwa sana hili Swali kama Chama kuanzia sasa atacheza Michuano hii ya Kimataifa naomba niseme Chama hatocheza Michuano hii ya Kimataifa" ameandika Ahmed Ally ( Mkuu wa Mawasiliano na Habari wa Simba SC ) katika Ukurasa wake wa Mtandao.