DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
KWA KAULI YA JPM,
Nawaskitikia sana Waliochukua fremu za biashara ndani ya stend kwa gharama kubwa IMEKULA KWAO.
Machinga na Mama lishe watauza bidhaa ile Ile kwenye kibaraza cha fremu uliolipia mwenyewe kwa pesa zako,
Wateja hawataona umuhimu wa kuingia ndani ya frem lako,Na watauziwa biadhaa ile ile kwa Bei ya chini zaidi.
Ukitaka kushindana nao, labda ukauze Bei sawa na wao.
Hapo bado tozo za manispaa, leseni, TRA n.k utalipa WEWE.
Machinga na mama lishe watakua pembeni tu wanakusanifu kwa kitambulisho chao cha elfu 20[emoji16].
Na huna cha kuwafanya kwasababu mweshimiwa tayari keshasema[emoji1]
Aisee
Mliochukua zile frem mjiandae kisaikolojia.