Baada ya kauli ya RC Albert Chalamila kuhusu wauza uduvi nimefanya tafiti na kugundua yafuatayo

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
282
Reaction score
561
Salaam Aleykum ndugu katika imani,

Nilisikiliza hii kauli ya mheshimiwa RC Dar Chalamila ikabidi kwanza nitafute hao uduvi wanaoongelewa hapa ni kitu gani, nikagundua uduvi ni dagaa wa kamba wale wadogo wenye mimba mingi.

Nikatembea kwa wauzaji wawili watu nikagundua waujazi uduvi huwa hawauzi uduvi pekee bali wanauza pweza, ngisi kachori na huo uduvi, binafsi ni mpenzi sana wa pweza na nikienda kwenye meza ya pweza naacha zaidi ya shilingi elfu tatu.

Nadiriki kusema meza moja inayouza pweza, ngisi kachori na hao uduvi anauhakika wa kulaza zaidi ya elfu hamsini.. ukitoa gharama za uendeshaji huyu mtu kwa mwezi anauhakika wa kupata zaidi ya shilingi laki tano ni mshahara mkubwa kuliko mtumishi anayeanza na TGS yaani Tanzania government scale pia ni mshahara mkubwa kuliko hata teller wa bank.

Ukweli ni kwamba hizi sekta zisizo rasmi zina kipato kingi kuliko ajira rasmi ambapo makato yanakaribia nusu ya mshahara hivyo wauza uduvi tuendelee kupiga kazi kuna siku Mungu atatuona.

Mtu mwenye meza hiyo ya uduvi au mkaanga bisi wana kipato kizuri kuliko waajiriwa wengi. Msamehe huyo RC.
 
Salaam Aleykum ndugu katika imani,

Nilisikiliza hii kauli ya mheshimiwa RC Dar Chalamila ikabidi kwanza nitafute hao uduvi wanaoongelewa hapa ni kitu gani, nikagundua uduvi ni dagaa wa kamba wale wadogo wenye mimba mingi.

Nikatembea kwa wauzaji wawili watu nikagundua waujazi uduvi huwa hawauzi uduvi pekee bali wanauza pweza, ngisi kachori na huo uduvi, binafsi ni mpenzi sana wa pweza na nikienda kwenye meza ya pweza naacha zaidi ya shilingi elfu tatu.

Nadiriki kusema meza moja inayouza pweza, ngisi kachori na hao uduvi anauhakika wa kulaza zaidi ya elfu hamsini.. ukitoa gharama za uendeshaji huyu mtu kwa mwezi anauhakika wa kupata zaidi ya shilingi laki tano ni mshahara mkubwa kuliko mtumishi anayeanza na TGS yaani Tanzania government scale pia ni mshahara mkubwa kuliko hata teller wa bank.

Ukweli ni kwamba hizi sekta zisizo rasmi zina kipato kingi kuliko ajira rasmi ambapo makato yanakaribia nusu ya mshahara hivyo wauza uduvi tuendelee kupiga kazi kuna siku Mungu atatuona.

Chanzo kingine cha kodi hiki, ngoja nikawaite TRA, Inabd wasajiliwe, wapewe na business license kabisa
 
Wanalipa ushuru wa serikali za mitaa (by laws) mtaji wao hauwezi kuzidi laki na hawana fremu za biashara…
 
Salaam Aleykum ndugu katika imani,

Nilisikiliza hii kauli ya mheshimiwa RC Dar Chalamila ikabidi kwanza nitafute hao uduvi wanaoongelewa hapa ni kitu gani, nikagundua uduvi ni dagaa wa kamba wale wadogo wenye mimba mingi.

Nikatembea kwa wauzaji wawili watu nikagundua waujazi uduvi huwa hawauzi uduvi pekee bali wanauza pweza, ngisi kachori na huo uduvi, binafsi ni mpenzi sana wa pweza na nikienda kwenye meza ya pweza naacha zaidi ya shilingi elfu tatu.

Nadiriki kusema meza moja inayouza pweza, ngisi kachori na hao uduvi anauhakika wa kulaza zaidi ya elfu hamsini.. ukitoa gharama za uendeshaji huyu mtu kwa mwezi anauhakika wa kupata zaidi ya shilingi laki tano ni mshahara mkubwa kuliko mtumishi anayeanza na TGS yaani Tanzania government scale pia ni mshahara mkubwa kuliko hata teller wa bank.

Ukweli ni kwamba hizi sekta zisizo rasmi zina kipato kingi kuliko ajira rasmi ambapo makato yanakaribia nusu ya mshahara hivyo wauza uduvi tuendelee kupiga kazi kuna siku Mungu atatuona.

Sema uyu jamaa mimi namkubali sana sjui kwann
 
Back
Top Bottom