Baada ya kelele nyingi za rushwa nda ya CHADEMA Lissu afungwa mdomo na Mbowe!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye na kupanda punda tu,
Sasa kapandishwa chopa anacheeka hatutosikia tena pesa za mama Abduli zinavuruga chama Mbowe ana akili sana kamtia kwenye buyu la asali nae ajirambe!
Cheki hapo kosi la mafisadi upande wa upinzani maskini msigwa kaachwa!
 

Attachments

  • 20240622_102421.jpg
    499.4 KB · Views: 5
Chopa yenyewe imeandikwa TAM (5H-TAM) twende na Asali Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…