Baada ya Kenya kuibiwa na wachina kwa kupandishiwa bei katika ujenzi wa SGR, yazinduka na kuwafukuza Wachina

Gharama ya km 1 ya barabara kwenye rock excavation haiwezi kuwa sawa na km 1 ya barabara kwenye common excavation,ni kama kulazimisha gharama ya lita moja ya mafuta dar iwe sawa na Mwanza.
 
Shida yako unaongea vitu ambavyo huvielewi,kutoka dar to morogoro ni km 205km lakini ukiweka na links zake ni karibu km 300
Ndio nimekubia unapaswa uzungumze kwa kutumia Kilometers, wewe hutaki Kilometer badala yake unazungumza lots ambazo hazina uhusiano wowote na gharama za ujenzi, jibu maswali yafuatayo:

1) Dar hadi Dodoma ni kilometer Ngapi?
2) Dodoma hadi Makutopora ya Singida ni Km ngapi?.
3) Jumla toka Dar hadi Makutopora ya Singida ni Kilometer ngapi?
4) Dar hadi Mwanza ni kilometer ngapi?
 
Unajua tofauti ya reli ya umeme na SGR? Jaribu kuelewa jambo kabla hujajenga hoja zako,vinginevyo utaonekana unaongea vitu usivyovijua
 
Si hakika kama unajua ujenzi wa tuta la reli na uwekaji wa njia ya umeme kwenye reli ni miradi miwili tofauti.
 
Unajua tofauti ya reli ya umeme na SGR? Jaribu kuelewa jambo kabla hujajenga hoja zako,vinginevyo utaonekana unaongea vitu usivyovijua
Hahahaha, reli ya umeme na SGR?, Mungu akusaidie ndugu yangu, wewe mwenzetu umetuzidi sana kwa akili, upo mbele yetu sisi sote. Hebu tufundishe tofauti ya reli ya umeme na SGR.
 
Hahahaha, reli ya umeme na SGR?, Mungu akusaidie ndugu yangu, wewe mwenzetu umetuzidi sana kwa akili, upo mbele yetu sisi sote. Hebu tufundishe tofauti ya reli ya umeme na SGR.
Unajichosha na huyo jamaa.

Tokea mwanzo hajui hata tofauti ya reli yetu na kenya.na hata hajui tinachosifia ni kitu gani, hata ikizidi gharama itakuwa imezidi sababu ya nini. Bahati mbaya au nzuri haizidi.
 
unajichosha na huyo jamaa.

Tokea manzo hajui hata tofauti ya reli yetu na kenya.na hata hajui tinachosifia ni kitu gani, hata ikizid gharam itakuwa imezidi sababu ya nini. Bahati mbaya au nzuri haizidi.
Sikua nimemjua, sasa hivi nimemjua hanisumbui tena.
 
Unajichosha na huyo jamaa.

Tokea manzo hajui hata tofauti ya reli yetu na kenya.na hata hajui tinachosifia ni kitu gani, hata ikizid gharam itakuwa imezidi sababu ya nini.bahati mbaya au nzuri haizidi.
Ok
 
Mtu yoyote anayetukana badala ya kujenga hoja huyo hana akili, ila kwa kukusaidia tu kuna lot 5 mpaka mwanza,mbili tayari zishamaliza $3.1B na hiyo ni contract price bado hujaongeza variations ambazo zimetokea.
Tueleze hizo variation basi!
 
Shida yako unaongea vitu ambavyo huvielewi,kutoka dar to morogoro ni km 205km lakini ukiweka na links zake ni karibu km 300
kingine Makutupora-Mwanza ni tambarare hamna tunnels wala babake mito mikubwa kama Ruvu ama Mkondoa ni mwendo mdundo!
 
Tuombe nchi masikini msaada?
TEAM DOMO VS TEAM HAPA KAZI TU
Wakati [emoji205][emoji205] zinapiga domo tu na kufisado nchi yao pasipo kuwa na chochote cha maana wanachojenga tz tunajenga maelfu ya project na kuzindua mamia ya project zilizo kamilika na kubuni mamia ya project za komikakati ,ngoja tuone huu mwaka kila kitu kitakuwa wazi na ukweli utajulikana
Soon itakuwa tz vs south Africa ,three years from now
 
Mchina is a new capitalist unategemea nini hapo kama sio kupigwa

Jr[emoji769]
 
Thanks umemjibu vizuri sana hiyo ya wachina ilikuwa diesel sio ya umeme.Na kwa jiografia ya kuanzia hapo makutupola kwenda mwanza nI tambarare mlima ni mmoja sekenke tuu tunatoboa tunnel moja kutoka hapo ni tambarare mpaka mwanza hivyo gharama zitakuwa chini tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…