Lazaroj
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,451
- 1,050
Gharama ya km 1 ya barabara kwenye rock excavation haiwezi kuwa sawa na km 1 ya barabara kwenye common excavation,ni kama kulazimisha gharama ya lita moja ya mafuta dar iwe sawa na Mwanza.Kaka nimekuambia tumia "Kilometa" sio "lots", gharama zinapangwa kwa Kilometer sio lots. Dar hadi Mwanza ni 1200Km...
Dar hadi Makutopora ni 700Km na zimegharimu $3.1B, zimebaki 500Km, akili kichwani mwako. Unahisi hizo zitagharimu zaidi ya hizo 700Km?