[emoji23] [emoji23] don't afraid niggaCheap propaganda peddled by desperate busy bodies.
Doubting Thomas...Cheap propaganda peddled by desperate busy bodies.
Ate waat? Ungemalizia tu kwenye hizo emoji ingependeza.[emoji23] [emoji23] don't afraid nigga
Angeandika kiswahili tu huyu...ona sasa kajiaibisha kadamnasi![emoji3]Ate waat? Ungemalizia tu kwenye hizo emoji ingependeza.
Ndii ni waziri, ni engineer, ni mtaalamu wa maswala ya uchumi au ni nani? Sasa unataka tuige tz kwenye meter gauge, wakati tz ni maskini wa kutupwa? Sisi huwa tunaiga nchi kama S.A au hata Misri. Yaani tunajaribu kusonga mbele wala si nyuma.Hii inaitwa back to square one. Professor Ndii amehubiri haya maneno kwenye masikio ya jubilee lakini wameweka ubishi. Mnayo meter gauge, mnaweza kutengeneza hiyo huku mnajipanga kujenga sgr na change ika baki. Lakini wapi, jubilee kichwa juu juu haooo.... Wameenda kukopa. Tanga-Arusha ni meter gauge na inafanyiwa matengenzo hivi sasa soon inaamza kazi.
Ndii ni waziri, ni engineer, ni mtaalamu wa maswala ya uchumi au ni nani? Sasa unataka tuige tz kwenye meter gauge, wakati tz ni maskini wa kutupwa? Sisi huwa tunaiga nchi kama S.A au hata Misri. Yaani tunajaribu kusonga mbele wala si nyuma.
Dr. Ndii ni mchumi mwenye kuheshimika sana hapa duniani, bahati mbaya sana amezaliwa Kenya, hamtaki kumsikiliza kwa sababu ni kiongozi mwandamizi wa NASA, lakini ukweli utabaki palepale, wakati anashauri kuhusu SGR yenu, alitumia elimu yake ya uchumi, sio ushabiki wa siasa za Kenya, kwa kutomsikilizwa kwenu, ni wazi kwamba mnapingana na theories za kiuchumi, lazima mtakutana na mkono wa Adam Smith, mtakwama tu, lazima mrejee kwenye theories of economics, acheni kiburi.Ndii ni waziri, ni engineer, ni mtaalamu wa maswala ya uchumi au ni nani? Sasa unataka tuige tz kwenye meter gauge, wakati tz ni maskini wa kutupwa? Sisi huwa tunaiga nchi kama S.A au hata Misri. Yaani tunajaribu kusonga mbele wala si nyuma.
Wakenya wengi uwezo wenu wa kujua mambo ni mdogo sana, ndiyo sababu nchi yenu inafanya vibaya katika maeneo mengi sana, hivi hata hujui ni kwa kiasi gani David Ndii alivyo maharufu na kuheshimika duniani? Huyu hapa namba 28Mwanzi1 nani ana hasira? Si mimi, afu umeona mwenzako hapo anasema eti sijui Ndii anaheshimika dunia nzima? Hehe labda dunia ya bongolalaz. 😀
Eti wakenya hawana uwezo wa kujua mambo. Huyo Ndii unayemsifia na kumnukuu na kumuita 'maharufu' si ni mkenya. Ndii 'article' zake utazipata kwenye DN, karibia kila mkenya anamjua. We unaona sifa kumjua eti na ulivopinda hata context ya swali langu huelewi. Who the fudge is Ndii to tell the Govt. of Kenya what to do? Comprende? Yeye ni A.G? Waziri wa fedha? Majority leader in the N.A? MCA? Women rep? Ndii is just a common mwananchi as far as GoK is concerned!Wakenya wengi uwezo wenu wa kujua mambo ni mdogo sana, ndiyo sababu nchi yenu inafanya vibaya katika maeneo mengi sana, hivi hata hujui ni kwa kiasi gani David Ndii alivyo maharufu na kuheshimika duniani? Huyu hapa namba 28
Top 100 Most Influential Economists 2017
Ndii sio common mwananchi, ni msomi aliyebobea katika uchumi, ushauri wake ni muhimu sana kusikilizwa hasa katika mambo yanayohusu uchumi, wewe bado ninakuambia akili zako ni changa sana, hivi ubadhani hao uliowataja ambao wapo serikalini ndiyo ambao serikali inapaswa kuwasikiliza pekee?, au unadhani hao ndiyo the most clever in Kenya?.Eti wakenya hawana uwezo wa kujua mambo. Huyo Ndii unayemsifia na kumnukuu na kumuita 'maharufu' si ni mkenya. Ndii 'article' zake utazipata kwenye DN, karibia kila mkenya anamjua. We unaona sifa kumjua eti na ulivopinda hata context ya swali langu huelewi. Who the fudge is Ndii to tell the Govt. of Kenya what to do? Comprende? Yeye ni A.G? Waziri wa fedha? Majority leader in the N.A? MCA? Women rep? Ndii is just a common mwananchi as far as GoK is concerned!
https://www.theeastafrican.co.ke/bu...R-funding-gaps/2560-4253722-yr6y8s/index.htmlReli inafika Kisumu mnaharahara tu na gossip ya kina mama mama hivi..... We wish you well
Tundu Lissu anaishauri GoT? Si alidhubutu akapigwa risasi? Akili zako hazijakomaa unajifanya kumjua Ndii wakati hata hufahamu kwamba ameajiriwa na NASA kama 'strategist'. Zamu yake aingoje 2032, iwapo Raila atakuwa rais. Wataalamu ni wengi Kenya, wanaoheshimu taaluma zao. Hawajihusishi na siasa za peni mbili kama Ndii na wamekuwa wakiishauri GoK bila kujali ni chama kipi kimeshika hatamu. Kwa agenda zake za 'seccesion' na kumuapisha Raila, naona akiingia kaburini bila ya kupata nafasi ya kuitumikia nchi yake. Acha awashauri wanamgambo wa NRM/NASA kuhusu uchumi wao maanake kwao vyuma vimekaza. Wapo 'jobless' sana baada ya wao kushindwa kwenye uchaguzi, tena. Kabla ya kuongea pumba uwe unafanya kautafiti bana. Si kujaza tu server na kiherehere chako kuhusu maswala ya Kenya ambayo huna ufahamu nayo hata kidogo!Ndii sio common mwananchi, ni msomi aliyebobea katika uchumi, ushauri wake ni muhimu sana kusikilizwa hasa katika mambo yanayohusu uchumi, wewe bado ninakuambia akili zako ni changa sana, hivi ubadhani hao uliowataja ambao wapo serikalini ndiyo ambao serikali inapaswa kuwasikiliza pekee?, au unadhani hao ndiyo the most clever in Kenya?.
Serikali makini inapaswa kupata mawazo toka kokote kule na hasa kuwasikiliza wasomi na wataalamu bila kujali kwamba
Nimekuambia katika masuala ya uchumi ni muhimu asikilizwe, katika mambo ya siasa huko mtajua nini la kufanya, ila ni mchumi mzuri sana, msiposikiliza ushauri wake kwa kiburi cha Jubilee vs NASA, uchumi wa Kenya utaendelea kusambaratika kama tunavyoushuhudia hivi sasa, ni muhimu kutenganisha siasa na uchumi.Tundu Lissu anaishauri GoT? Si alidhubutu akapigwa risasi? Akili zako hazijakomaa unajifanya kumjua Ndii wakati hata hufahamu kwamba ameajiriwa na NASA kama 'strategist'. Zamu yake aingoje 2032, iwapo Raila atakuwa rais. Wataalamu ni wengi Kenya, wanaoheshimu taaluma zao. Hawajihusishi na siasa za peni mbili kama Ndii na wamekuwa wakiishauri GoK bila kujali ni chama kipi kimeshika hatamu. Kwa agenda zake za 'seccesion' na kumuapisha Raila, naona akiingia kaburini bila ya kupata nafasi ya kuitumikia nchi yake. Acha awashauri wanamgambo wa NRM/NASA kuhusu uchumi wao maanake kwao vyuma vimekaza. Wapo 'jobless' sana baada ya wao kushindwa kwenye uchaguzi, tena. Kabla ya kuongea pumba uwe unafanya kautafiti bana. Si kujaza tu server na kiherehere chako kuhusu maswala ya Kenya ambayo huna ufahamu nayo hata kidogo!