Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Baada ya jana Yanga kujaza pomoni viwanja viwili vya Mkapa na Uhuru, wale wacha mbuzi uchwara wamehama kutoka kwenye vichaka vya sold out na full house na kuja na kichaka cha time management.
Hawajui kuwa lile ni tamasha/bonanza kati ya viongozi, wachezaji na mashabiki/wanachama wa timu kuwa karibu na kufurahi pamoja bila kujali muda kiasi gani utatumika ili mradi watu wafurahie burudani mbalimbali wakiwa pamoja kama mashabiki.