Baada ya kichaka cha sold out na full house kufweka, sasa wamekuja na kichaka kipya

Kimefyekwa kwa supu na tiketi za kuingia uwanjani bure?
 
jamaa wana visingizio lukuki, mara ally kamwe hakuwepo,mara refa kazingua mara uwanja haujajaa.

kifupi ni wivu tu, ngoja tarehe 8 tuwazagamue ndo waumie vizuri
Wenye timu yao wameukubali muziki wa Yanga. Ila mbumbumbu FC bana, kufungwa wafungwe Red arrows lakini kuumiwa wanaumia wao..!!

Your browser is not able to display this video.
 
kuntu
 
Sold out gani nyie mlifanya wakati jana tiketi zimeuzwa uwanjani?

Pamoja na hayo yote lakini haikusaidia mpaka mlipoweka fungulia mbwa
Your browser is not able to display this video.
 
Kama kocha wenu kafanya analysis na kuiandaa timu kwa kuangalia mechi ya jana basi mshapotea.
 
Ile siyo tamasha ni Isindigo, takataka kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…