nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
kama kawaida katika maisha ya ukocha hatimaye jamaa ametimuliwa baada ya msururu wa matokeo mabovu yaliyojitimishwa na kichapo cha mbwa koko toka kwa adui zao wa kila siku kwenye soka-barcelona, bodi ya club ya real madrid ilifikia uamuzi huo leo baada ya kukutana chini ya rais wao bwn florentino perez, pamoja na na matokeo mabovu ikumbukwe kuwa katika miala ya hjivi karibuni madrid imefanya vizuri sana ulaya ingawa imekuwa taabu sana pindi wanapokutana na barca na wamekuwa wahanga wa vipigo vikali
Real Madrid sack Lopetegui: El Clasico defeat the final straw as Antonio Conte waits to take over | Goal.com
Real Madrid sack Lopetegui: El Clasico defeat the final straw as Antonio Conte waits to take over | Goal.com