baada ya kichapo kikali toka kwa barca, madrid wamtimua kocha wao

baada ya kichapo kikali toka kwa barca, madrid wamtimua kocha wao

nankumene

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
7,355
Reaction score
8,149
kama kawaida katika maisha ya ukocha hatimaye jamaa ametimuliwa baada ya msururu wa matokeo mabovu yaliyojitimishwa na kichapo cha mbwa koko toka kwa adui zao wa kila siku kwenye soka-barcelona, bodi ya club ya real madrid ilifikia uamuzi huo leo baada ya kukutana chini ya rais wao bwn florentino perez, pamoja na na matokeo mabovu ikumbukwe kuwa katika miala ya hjivi karibuni madrid imefanya vizuri sana ulaya ingawa imekuwa taabu sana pindi wanapokutana na barca na wamekuwa wahanga wa vipigo vikali

Real Madrid sack Lopetegui: El Clasico defeat the final straw as Antonio Conte waits to take over | Goal.com
 
Aende mwana kwenda.

Nani alikuwa mkubwa kati ya Ronaldo na Real Madrid?
 
Hata wakimfukuza wanapaswa kusajili! Kina Benzema muda wao ushakwisha pale
 
Hamna mfungaji mwenye uchu wa magoli pale hao waliopo wauza sura tu
 
Nachokiona Madrid hakuna maelewano mazuri kati ya uongozi pamoja na benchi la ufundi
 
Back
Top Bottom