Wana jamvi nimeona hili niliweke hapa.
Kumbe siku za kuishi kwa mtu hupangwa na Muumba na wala si ADUI yako.
Hivi karibuni baada ya Fidel Castro kufariki.
Marekani na shirika lake la Kijasusi la CIA wametoboa siri katika nyaraka ambazo wame zi Declassify/Wameziondolea usiri na kuziweka hadharani.Wakisema walijaribu KUMUUA Castro mara 638 na katika majaribio yote hayo WALISHINDWA.
Miongoni mwa majaribio hayo ilikuwa ni kutumia watu wa karibu wa Castro, akiwemo HAWALA ake ambaye alitumika na akashindwa,walijaribu kutumia KALAMU za sumu,
SIGARA, CIGAR- Castro ALIGUNDUA AKAACHA KUVUTA,
Milipuko ya Seashells,
Kujaribu kuweka BACTERIA katika nguo zake za kuogelea.
Waliposhindwa hayo wakajaribu KUTUMIA ZAWADI. Castro ALIZIKATAA na wala HAKUZISHIKA.Wamarekani wakaachwa hoi!
Na kutumia BUTOLIN ili immalize wakashindwa.
Mpaka mwaka wa 2000 akiwa ziarani PANAMA mmoja wa watu waliotumiwa na CIA aliweka BOMU katika jukwaa ambalo ANGETUMIA kuhutubia watu.
WALINZI wake WALIOKAGUA jukwaa lake KABLA wakagundua bomu la kilo 90Kg. Wamerika wakaaibika na kuchoka. Na Majasusi wa Cuba DI-G2 (Generale Direccion de Intelligecia) Waliweza kuwakamata wote katika majaribio yao. Ndipo Marekani walipoinua mikono na kusema YAISHE.Na kuamua KUKAZA VIKWAZO maana huyu jamaa ALIWASHINDA.
Inanasemekana shirika la ujasusi la Cuba ni mingoni mwa mashirika bora zaidi ulimwenguni.Likichukuwa vijana wakiwa college mwaka wa pili walio na DIPLOMA wanaobobea katika masomo ya Mawasiliano, Sosiolojia,Uwezo wa kuongea na kuzijua LUGHA kadhaa nk.
Wengine HAWALIPWI ni watu walio katika kazi zao.
Maisha ya mtu kweli yamo mikononi mwa MUUMBA WAKE!
Chanzo: Los Angeles Times 2 Dec na The Guardian, 2016