Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu ili kiwe bora zaidi ni namna gani umewekeza ktk nyanja hiyo.Hiyo inaonesha kuwa kuna nchi Intelligence Agent zipo serious mno si huku kwetu habari za Kintelejensia utazisikia tu kwenye ishu za Siasa ila si kwa matukio mengine mfano Panya Road hadi wanajipanga na kujitokeza barabarani kupora watu hakuna taarifa yeyote...
Bomu lenye kilo 90.Bomu na kilo 900kg ni kitu gani we jamaa
Alipigwa na sumu iliyosemekanwa kuwekwa kwenye nguo zake za ndaniDah! mkuu umeniacha na umatemate dadavua kidogo
Lugha lugha lugha jamani. Tunahitaji kujua kwa ufasaha sio kiingereza tu bali kifaransa, kispaniola, kireno, kichina, kirusi bila kusahau lugha kuu ya magaidi..... Likichukuwa vijana wakiwa college mwaka wa pili walio na DIPLOMA wanaobobea katika masomo ya Mawasiliano, Sosiolojia,Uwezo wa kuongea na kuzijua LUGHA kadhaa nk. ...