Tetesi: Baada ya kifo cha Fidel Castrol Amerika yatoboa siri

hivi story ya jamaa kupangua nishani zake mabegani na kufanya silaha ni kweli,ila ya kutupwa bahari na wamaerakini sijaiona hapa
 
Kila kitu ili kiwe bora zaidi ni namna gani umewekeza ktk nyanja hiyo.

Nakumbuka enzi za Mwl Nyerere Idara ya Usalama uwekezaji wake kitaaluma ulikuwa wa hali ya juu sana na network yake ilikuwa kubwa sana almost kila eneo na ndiyo maana hakuna issue ilitokea tu bila kujulikana.

Uwezo wa Idara kupata taarifa sahihi kila kona ya nchi ulikuwa mkubwa sana.

Na usiri wao ulikuwa wa hali ya juu sana kama maadili ya kazi zao unavyowataka kuwa.

Tukiongeza uwekezaji ktk Idara zetu tofauti za Serikali uwajibikaji na ufanisi utaongezeka na itasaidia kufika malengo tuliyojipangia.
 
.... Likichukuwa vijana wakiwa college mwaka wa pili walio na DIPLOMA wanaobobea katika masomo ya Mawasiliano, Sosiolojia,Uwezo wa kuongea na kuzijua LUGHA kadhaa nk. ...
Lugha lugha lugha jamani. Tunahitaji kujua kwa ufasaha sio kiingereza tu bali kifaransa, kispaniola, kireno, kichina, kirusi bila kusahau lugha kuu ya magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…