mbuzi wa mshenga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 209
- 337
Kwenye kifo tuwe wapole, maana kinagusa kila mtu aliyezaliwa!Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii,ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/chawa je hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?
Oktoba tunatiki✔️✔️✔️Baada ya kifo cha Mkewe Mpoto wananchi wanaenda kwa kasi kwenye post zenye picha ya marehemu na maneno yaliyotolewa ni Kifo ni kifo tu.
Mitano tena kwa Mama.
Kifo ni kifo msilete taharuki mitandaoniK
Kwenye kifo tuwe wapole, maana kinagusa kila mtu aliyezaliwa!
Kifo ni kifo tuuOktoba tunatiki✔️✔️✔️
Kumbe wananchi wote ni chadema!Chadomo ni mataahira
Hapo unazungumzia vipi uhalisia?hayo maneno ya oktoba tunatiki, kifo ni kifo tu, yanahusiana vipi mkuu?Tofautisha kati ya chuki na uhalisia, zile comments ni sahihi kuwa vile.
Kuna la kujifunza nadhani hata msiba ukiisha kama ana busara atachagua upande wa kuunyenyekea aseeChadomo ni mataahira
ni kweli mtatiki, but mbinguni sio duniani, huyo mke wa mpoto kashaenda kupanga foleni bado weweOktoba tunatiki[emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Nikikuta msanii analiwa na Simba nitakuwa busy kuchukua videoNimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/ chawa.
Je, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?
zile comments zinafurahisha, wamemfurahisha sana Mpoto na CHAWA, kuna mtu humu ndani akipata janga comments zake zitakua kama za MpotoJe, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?
Probably I'll follow after youni kweli mtatiki, but mbinguni sio duniani, huyo mke wa mpoto kashaenda kupanga foleni bado wewe
Wajifunze nini ktk hao wapumbavu zaidi ya wivu, uhasidi na roho mbaya iliyokosa utu? Mrisho Mpoto anapambana kutafuta riziki yake amekosea nini? Kuishabikia CCM na serikali yake ni haki yake, km una mtazamo tofauti ni wa kwako huwezi kulazimisha tufanane kimtazamo. Hao ni mapumbavu ya kupuuzwa.Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/ chawa.
Je, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?