Baada ya kifo cha mke wa Mrisho Mpoto wasanii wamejifunza nini?

Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/ chawa.

Je, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?
Hao nyumbu na sukuma gang wamechanganyikiwa wamekosa mpk utu baada ya kuona hawana lao ktk uongozi wa nchi hii.
 
Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/ chawa.

Je, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?
Ugonjwa ulikaa pabaya. AHM.
 
Nilichojifunza ni kuwa ile kauli ya hovyo kabisa iliyotolewa Samia kuhusu kifo cha Mzee Kibao imewachukiza wananchi wengi.
Hivyo wale wote waliokaa kimya bila kuipinga kauli ile wanachukiwa na wengi ambao kauli ile hawakuipenda
 
Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/ chawa.

Je, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?
Halafu utashangaa bado wanajiaminisha wanapendwa na watashinda kwa kishindo!

Anyway, pole sana Mpoto kwa kufiwa na mkeo.
Hayo maoni hata siyo yako, ila bahati mbaya wananchi wanakutumia wewe kufikisha ujumbe kwa muhusika. Kama atakuwa na busara, atajua cha kufanya.
 
Wajifunze nini ktk hao wapumbavu zaidi ya wivu, uhasidi na roho mbaya iliyokosa utu? Mrisho Mpoto anapambana kutafuta riziki yake amekosea nini? Kuishabikia CCM na serikali yake ni haki yake, km una mtazamo tofauti ni wa kwako huwezi kulazimisha tufanane kimtazamo. Hao ni mapumbavu ya kupuuzwa.
Usipambane kwa kufanya umalaya wa kisiasa ili upate dona lako, umalaya huo unawaumiza wengine.
 
Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/ chawa.

Je, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?
Screenshot_20250716-162421.png
 
Wajifunze nini ktk hao wapumbavu zaidi ya wivu, uhasidi na roho mbaya iliyokosa utu? Mrisho Mpoto anapambana kutafuta riziki yake amekosea nini? Kuishabikia CCM na serikali yake ni haki yake, km una mtazamo tofauti ni wa kwako huwezi kulazimisha tufanane kimtazamo. Hao ni mapumbavu ya kupuuzwa.
Kifo ni kifo hao wanaozua taharuki waache
 
Wajifunze nini ktk hao wapumbavu zaidi ya wivu, uhasidi na roho mbaya iliyokosa utu? Mrisho Mpoto anapambana kutafuta riziki yake amekosea nini? Kuishabikia CCM na serikali yake ni haki yake, km una mtazamo tofauti ni wa kwako huwezi kulazimisha tufanane kimtazamo. Hao ni mapumbavu ya kupuuzwa.
Unatuhasa Kuthamini Na Kuamini Ya Kuwa Kila Mmoja Ana Mtazamo Wake....Sasa Mbona Unawaita Wapumbavu Hao Wenye Mtazamo Tofauti Na Huo Mtazamo Wako..??
 
Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/ chawa.

Je, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?
Ukimwi upo!!
 
Tuanze kupata mawazo ya Lucas,popote ulipo fanya kama unajikuna tukuone tafadhali
 
Upinzani haujaanza leo lakini hii chuki iliyopo sasa si ya kawaida kwenye afya ya nchi kulikuwa na upinzani mkubwa kabla ya sasa lakni watu walikuwa hawafiki huku

Nafikiri watawala ni vema kuchukua hatua lakini wakizingatia kutawala na kushinda chaguzi tu badae nchi inaweza isitawalike kwani lazma wananchi wote washiriki katika ujenzi wa taifa lao
 
Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/ chawa.

Je, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?
Waliokuwa wanamtukana Mpoto kwa kufiwa na mke ni akili zao. Nasi tunawasubiri wafiwe tulipize!
 
Nimejaribu kufatilia coment za wananchi baada ya Mrisho Mpoto kutoa taarifa za kifo cha mke wake katika ukurasa wake wa kijamii, ila nimeona kwamba kuna wananchi wenye chuki za wazi kwa serikali pamoja na wote wanaowashabikia/ chawa.

Je, hii inawapa funzo gani wale wote wanaokuwa karibu na serikali kwa kuwasifia kwa nyimbo na mapambio?
Umma hauisahau nafasi yako: Mtu unapojenga taswira ya kuwa upande wa watawala badala ya watu, jamii inaweza kukuhukumu hata wakati ambao ungehitaji faraja kama binadamu.

Kwa hiyo, ni funzo kwa wasanii, wanahabari, au watu wa umma walio karibu na mamlaka kufikiria kwa kina athari ya maamuzi yao ya kisiasa kwa muda mrefu na jamii wanayoihudumia. Kusimama upande wa haki huacha heshima ya kudumu.
 
Back
Top Bottom