Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Sijui hata nimewaza nini!
Naiona nguvu kubwa ikitumika kumtambulisha mmiliki wa CMG Bwana Joe Kusaga, ni kama Mkurugenzi mpya vile kumbe ni yule yule aliyekuwa tangu kuasisiwa kwa kampuni hiyo!
Imekuwa kawaida sasa kusikia kila mara akifanyiwa mahojiano na vituo vyake vya Redio na TV, tofauti na pale awali enzi za Jasiri Muongozanjia.
Wala sio kwamba walikuwa katika nafasi moja ya kimajukumu, la hasha! Ruge alikuwa mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji, Joe boss kama siku zote.
Ni wazi kuwa Ruge alimficha (overshine) Joe, wengi tuliwahi hata kuamini kuwa CMG ni ya Boss Ruge, huku Joe akiwa kimya.
Tulidhani labda Joe sio mtu wa kuongea sana, au pengine ana majukumu mengi huko nje kiasi kwamba hana muda. Leo tunamuona akihojiwa kila uchwao, nini kimebadilika kwenye majukumu au ratiba zake?
Amestukia kutrend kunalipa au niaje.?
Wasalaam,
Ncha Kali.