Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.
Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya chama ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama alivyowahi kuongeza baba yake?
January na Nape kwa sasa wanaweza kuendelea kuwa asset au watabaki kuwa liability? Je, tunaamini watakuwa wameacha mbio zao zakuwaza nafasi kubwa zaidi kisiasa nchini?