Baada ya kikao cha baraza la mawaziri leo 07/03/2025; natabiri mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri? Januari na Nape watarejea?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.

Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya chama ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama alivyowahi kuongeza baba yake?

January na Nape kwa sasa wanaweza kuendelea kuwa asset au watabaki kuwa liability? Je, tunaamini watakuwa wameacha mbio zao zakuwaza nafasi kubwa zaidi kisiasa nchini?
 
Huyo mtoto wakti wa magufuli aliwekwa pembeni samia akamrejesha. Akavurunda na sasa amesamehewa. Viongozi wajue kwamba sinba akisja kula nyama ya mtu hawezi kamwe kuishia hapio. Ipo siku watajikuta wapo nje ya ulingo huku yeye akiwa amekalia kiti. SHAURI YAO
 
Kwenye wizara ya maji huyo Aweso wampe wizara nyingine. Hapo kwenye maji Samia aweke waziri mkristo,atanishukuru baadaye.
 
Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.

Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya chama ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama alivyowahi kuongeza baba yake?

January na Nape kwa sasa wanaweza kuendelea kuwa asset au watabaki kuwa liability? Je, tunaamini watakuwa wameacha mbio zao zakuwaza nafasi kubwa zaidi kisiasa nchini?
Of course lazima waandae mwizi wa kimtandao Makamba afanye yake! Mnakumbuka 2015? Vijana waliokuwa wanajumlisha matokeo mlimani city walivamiwa na mapolisi na kuwanyanganya computer na gadgets zote? Ilikuwa kazi ya huyu mchawi wa bumbuli alipokuwa akitaka kuteka matokeo online akaona vijana nao wanajumlisha kwa haki!! CDM strongly:: HAKUNA UCHAGUZI BILA MAREKEBISHO YA SHERIA NA KATIBA
 
Nchi yenye watu milion 60 plus watu wake wanaamini kwamba ni lazima January na nape wawe mawazir tu?
Tumelogwa?
 
Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.

Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya chama ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama alivyowahi kuongeza baba yake?

January na Nape kwa sasa wanaweza kuendelea kuwa asset au watabaki kuwa liability? Je, tunaamini watakuwa wameacha mbio zao zakuwaza nafasi kubwa zaidi kisiasa nchini?
Rais aliyepo madarakani anaamini ktk mbinu alizozitaja Nape ili kushinda, wizi wa kura na udanganyifu. Nape na January piga garagaza wanazawadiwa uwaziri.
 
Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.

Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya chama ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama alivyowahi kuongeza baba yake?

January na Nape kwa sasa wanaweza kuendelea kuwa asset au watabaki kuwa liability? Je, tunaamini watakuwa wameacha mbio zao zakuwaza nafasi kubwa zaidi kisiasa nchini?
Kwenye wizara ya maji huyo Aweso wampe wizara nyingine. Hapo kwenye maji Samia aweke waziri mkristo,atanishukuru baadaye.
Kwenye wizara ya maji huyo Aweso wampe wizara nyingine. Hapo kwenye maji Samia aweke waziri mkristo,atanishukuru baadaye.
Ukristo na maji vina uhusiano gani?

Kuna uhusiano wa ukitistu na maji!?
Inashangaza Sana hoja hii.

Nchi yenye watu milion 60 plus watu wake wanaamini kwamba ni lazima January na nape wawe mawazir tu?
Tumelogwa?
Kabisa, tumerogwa. Siyo bure hata kidogo!

Tunapaswa tubadilishe Katiba ya nchi ili Mawaziri wasitokane na Wabunge.
 
Aliyepigwa kikofi kisha kusamehewa na kurudishwa kwa mama atarejeshwa kwenye Baraza.
 
Sijawahi kuona faida ya mabadiliko yoyote yaliwahi kufanywa na siyo kwenye Cabinet tu hata kwenye kwenye taasisi nyingine naona kama uwa anataka kuonesha kama ana mamlaka hayo lakini si kwamba uwa anakusudia kuleta tija yoyote na ndiyo maana leo anamtoa fulani baada ya miezi kadhaa anamrudisha tena,ebu jiulize kulikuwa kuna haja gani ya kuwatoa Kabudi na Lukuvi halafu awarudishe tena! Kwahiyo si ajabu leo ukasikia kamrudisha Ummy,Januari na hata Kairuki kwa sababu mabadiliko anayoyafanya uwa hayakusudii lolote la maana labda sana sana anataka kuwaonesha tu kwamba akitaka kumpa cheo anampa na akiamua kumtema anamtema.
 
Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.

Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya chama ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama alivyowahi kuongeza baba yake?

January na Nape kwa sasa wanaweza kuendelea kuwa asset au watabaki kuwa liability? Je, tunaamini watakuwa wameacha mbio zao zakuwaza nafasi kubwa zaidi kisiasa nchini?
Hivi hamna watu wengine huko kwenu?
 
SSH atulizane kila siku anapangua baraza ufanisi uko wapi? Akitaka ampe RC JM....asituchoshe
 
Back
Top Bottom