Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hao wawili ni asset kwa sababu uchaguzi umekaribia.January na Nape kwa sasa wanaweza kuendelea kuwa asset au watabaki kuwa liability?
Of course lazima waandae mwizi wa kimtandao Makamba afanye yake! Mnakumbuka 2015? Vijana waliokuwa wanajumlisha matokeo mlimani city walivamiwa na mapolisi na kuwanyanganya computer na gadgets zote? Ilikuwa kazi ya huyu mchawi wa bumbuli alipokuwa akitaka kuteka matokeo online akaona vijana nao wanajumlisha kwa haki!! CDM strongly:: HAKUNA UCHAGUZI BILA MAREKEBISHO YA SHERIA NA KATIBALeo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.
Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya chama ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama alivyowahi kuongeza baba yake?
January na Nape kwa sasa wanaweza kuendelea kuwa asset au watabaki kuwa liability? Je, tunaamini watakuwa wameacha mbio zao zakuwaza nafasi kubwa zaidi kisiasa nchini?
Kuna uhusiano wa ukitistu na maji!?Kwenye wizara ya maji huyo Aweso wampe wizara nyingine. Hapo kwenye maji Samia aweke waziri mkristo,atanishukuru baadaye.
Rais aliyepo madarakani anaamini ktk mbinu alizozitaja Nape ili kushinda, wizi wa kura na udanganyifu. Nape na January piga garagaza wanazawadiwa uwaziri.Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.
Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya chama ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama alivyowahi kuongeza baba yake?
January na Nape kwa sasa wanaweza kuendelea kuwa asset au watabaki kuwa liability? Je, tunaamini watakuwa wameacha mbio zao zakuwaza nafasi kubwa zaidi kisiasa nchini?
Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.
Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya chama ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama alivyowahi kuongeza baba yake?
January na Nape kwa sasa wanaweza kuendelea kuwa asset au watabaki kuwa liability? Je, tunaamini watakuwa wameacha mbio zao zakuwaza nafasi kubwa zaidi kisiasa nchini?
Kwenye wizara ya maji huyo Aweso wampe wizara nyingine. Hapo kwenye maji Samia aweke waziri mkristo,atanishukuru baadaye.
Ukristo na maji vina uhusiano gani?Kwenye wizara ya maji huyo Aweso wampe wizara nyingine. Hapo kwenye maji Samia aweke waziri mkristo,atanishukuru baadaye.
Inashangaza Sana hoja hii.Kuna uhusiano wa ukitistu na maji!?
Kabisa, tumerogwa. Siyo bure hata kidogo!Nchi yenye watu milion 60 plus watu wake wanaamini kwamba ni lazima January na nape wawe mawazir tu?
Tumelogwa?
Hivi hamna watu wengine huko kwenu?Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.