Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Mwenyeketi wa kijiji chetu cha Nyampulukano, Sengerema hajatusomea mapato na matumizi ya kijiji toka 2021.
Mr TACO katepeta round hiiTACO
Hajalalamika sim yake haipokelewi huku kwetu kwani...π
Umesema vyema Marekani hatoboi bila China hasa inapohusu masuala ya kibiashara na rare earthUSA Hamna kitu ni propaganda tu ,mchina ni baba lao kwa dunia ya sasa.
Mr TACO katepeta round hii
Xi sio Ramaphosa au Zele au viongozi wa Ulaya, Canada, Japan, S.K, India and the likes of akiss his ass
Lazima azingatie win-win cooperation and mutual respect akitaka aongee na China
La sivyo simu hazipokelewi
propagandaKwa miezi kadhaa Trump alikuwa akijaribu sana kuongea na Xi bila mafanikio.
Vimechukua taarifa hii kutoka vyombo vya habari vya China hasa Xinhua.
Nimeona post yake baada ya mazungumzo na Xi kwa njia ya simu Trump amekuwa mpole sana
View attachment 3357115
CNN ni fake NewsππKwa miezi kadhaa Trump alikuwa akijaribu sana kuongea na Xi bila mafanikio.
Pia alikuwa akitamani sana atembelee China aongee na Xi
Hatimaye leo ndoto zake zote 2 zimetimia kwanza ya kuongea na Xi kwa simu na pili amekaribishwa na raisi Xi atembelee China.
Jambo la kushangaza ni kwamba hizi habari za ombi la Trump kuongea na Xi hata vyombo vya habari vya Marekani havikujua. Vimechukua taarifa hii kutoka vyombo vya habari vya China hasa Xinhua.
Hakuna walichozungumzia kuhusu Russia/Ukraine na Iran sehemu kubwa ya mazungumzo ilihusu masuala ya kibiashara na Taiwan.
Xi Jinping is the most powerful man in the world so far.
View attachment 3357085
Maybe Trump can sleep well tonight πππCNN ni fake Newsππ
Kwa nini unasema hivyo?Changamoto ilianzia pale Panama
Kwa nini unasema hivyo?
Us imekuwa ikiingilia maslai ya China maeneo tofauti tofauti, Trump alipoapishwa aliahidi kudhibiti mfereji wa Panama usiweze kutumiwa na China.