Baada ya kilio cha muda mrefu cha Trump hatimaye leo Xi Jinping amepokea simu ya Trump

Baada ya kilio cha muda mrefu cha Trump hatimaye leo Xi Jinping amepokea simu ya Trump

Maybe Trump can sleep well tonight 😀😀😀
Yeah I agree with you imagine jana usiku Trump aliamka saa 8 usiku na kupost hii. Kwa watu wazima tulielewa tu kuwa anatafuta huruma ya Xi. Leo atalala vizuri

"I like President Xi of China"
​
20250605_091004.jpg
 
Kwa miezi kadhaa Trump alikuwa akijaribu sana kuongea na Xi bila mafanikio.

Pia alikuwa akitamani sana atembelee China aongee na Xi

Hatimaye leo ndoto zake zote 2 zimetimia kwanza ya kuongea na Xi kwa simu na pili amekaribishwa na raisi Xi atembelee China.

Jambo la kushangaza ni kwamba hizi habari za ombi la Trump kuongea na Xi hata vyombo vya habari vya Marekani havikujua. Vimechukua taarifa hii kutoka vyombo vya habari vya China hasa Xinhua.

Hakuna walichozungumzia kuhusu Russia/Ukraine na Iran sehemu kubwa ya mazungumzo ilihusu masuala ya kibiashara na Taiwan.

Xi Jinping is the most powerful man in the world so far.



View attachment 3357085
​
hongera trump kwa kupata nafasi ya kuongea na mbabe wa dunia XI J
 
Mr TACO katepeta round hii

Xi sio Ramaphosa au Zele au viongozi wa Ulaya, Canada, Japan, S.K, India and the likes of akiss his ass

Lazima azingatie win-win cooperation and mutual respect akitaka aongee na China

La sivyo simu hazipokelewi
Usa bana kama vile carbineti ya trump ina serikali mbili huku huku pete hexasath marco rubio anasambaza sumu ya ubabe huku rais anafanya diplomatic na xing sijui nani atawaamini
 
Usa bana kama vile carbineti ya trump ina serikali mbili huku huku pete hexasath marco rubio anasambaza sumu ya ubabe huku rais anafanya diplomatic na xing sijui nani atawaamini
Marekani chini ya utawala wa Trump imekosa dira
 
Back
Top Bottom