mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Siwezi kushabikia mbumbumbu fc hata siku mojaWatu wa simba mna matatizo
Hatuna watu wa hivyo kwetu...watu wenye akili mbili...moja ikiondoka ndo wanabakia hivyo... 🤣Watu wa simba mna matatizo
Samahani we ni nani mwenzangu?Hatuna watu wa hivyo kwetu...watu wenye akili mbili...moja ikiondoka ndo wanabakia hivyo... 🤣
Ni ndama...Samahani we ni nani mwenzangu?
Huyu hana tofauti na kamanda asiechoka, kaccm kindakindaki ila kanajifanya kakamanda 😹Hatuna watu wa hivyo kwetu...watu wenye akili mbili...moja ikiondoka ndo wanabakia hivyo... 🤣
AiseeHuyu hana tofauti na kamanda asiechoka, kaccm kindakindaki ila kanajifanya kakamanda 😹
😂😂Mpira unatakiwa ukupe burudani nje ya hapo shabikia Kwaya kama sisi.
😁Ni ndama...
🤣Tokea timu Yangu pendwa ya Yanga sc ifungwe na azam fc, katika mchezo wa ligi kuu, akili yangu haiko sawaa, dishi limeyumba kabisaa, naongea peke yangu kama mwehu njiani.
Nakunywa pombe siku ya nne Leo, pia ikumbukwe nilimfukuza mke wangu, pisi ya maana ili nijikite kwenye kuishabikia yanga yangu, nahisi baada ya mechi ya mamelod nitaanza kuokota makopo barabaraniView attachment 2940748
Hawa ndio wale nliokua nawazungumzia Kalpana![emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hahahahaha utakua na tatizo..ila watanzania banaTokea timu Yangu pendwa ya Yanga sc ifungwe na azam fc, katika mchezo wa ligi kuu, akili yangu haiko sawaa, dishi limeyumba kabisaa, naongea peke yangu kama mwehu njiani.
Nakunywa pombe siku ya nne Leo, pia ikumbukwe nilimfukuza mke wangu, pisi ya maana ili nijikite kwenye kuishabikia yanga yangu, nahisi baada ya mechi ya mamelod nitaanza kuokota makopo barabaraniView attachment 2940748
Jina lenyewe tu ni ushahidi tosha kichwani kumejaa matope, badala ya ubongo. Hivyo huhitaji maelezo marefu kujipambanua wewe ni nani.Tokea timu Yangu pendwa ya Yanga sc ifungwe na azam fc, katika mchezo wa ligi kuu, akili yangu haiko sawaa, dishi limeyumba kabisaa, naongea peke yangu kama mwehu njiani.
Nakunywa pombe siku ya nne Leo, pia ikumbukwe nilimfukuza mke wangu, pisi ya maana ili nijikite kwenye kuishabikia yanga yangu, nahisi baada ya mechi ya mamelod nitaanza kuokota makopo barabaraniView attachment 2940748
tulia mpira uko hivyo hatuwezi kushinda kila mechi,tutarudi kwa nguvu kubwa sanaTokea timu Yangu pendwa ya Yanga sc ifungwe na azam fc, katika mchezo wa ligi kuu, akili yangu haiko sawaa, dishi limeyumba kabisaa, naongea peke yangu kama mwehu njiani.