mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Tokea timu Yangu pendwa ya Yanga sc ifungwe na azam fc, katika mchezo wa ligi kuu, akili yangu haiko sawaa, dishi limeyumba kabisaa, naongea peke yangu kama mwehu njiani.
Nakunywa pombe siku ya nne Leo, pia ikumbukwe nilimfukuza mke wangu, pisi ya maana ili nijikite kwenye kuishabikia yanga yangu, nahisi baada ya mechi ya mamelod nitaanza kuokota makopo barabarani