Baada ya kipigo toka kwa Fury, Wilder atemana na kocha wake. Asema alivalishwa mavazi mazito, miguu ilichoka

Binafsi, nimesikitika kupigwa kwa bwana Wilder. Ukweli ni kwamba Fury was the best Fighter,I.e footwork, defence skills, ring IQ, Ring Confidence etc.

Wilder bado ana nafasi ya kuomba rematch ndani ya Siku 30 (kimkataba)

Ingawa nisingeshauri hili kwanza atulie, embarrassment ya aibu ipoe kwakweli I had a lot of doubts on Tyson Fury, he proved me wrong.

Wilder atafute mtu mwingine apigane nae ili arudishe CONFIDENCE yake. Badae ajiandae kutetea ubingwa wake wa WBC.

Nangojea Fury V AJ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa mbona kaanza kutoa visingizio kama vyakwetu bongo wakati anaishi mambele. Kupigwa ni kupigwa tu, sisi kama mashabiki tunachojua ni kwamba alipoteza pambano. Tena amshukuru huyo kocha kwakumrushia taulo.akajipange upya.
 
Binafsi, nimesikitika kupigwa kwa bwana Wilder. Ukweli ni kwamba Fury was the best Fighter,I.e footwork, defence skills, ring IQ, Ring Confidence etc.

Wilder bado ana nafasi ya kuomba rematch ndani ya Siku 30 (kimkataba)

Ingawa nisingeshauri hili kwanza atulie, embarrassment ya aibu ipoe kwakweli I had a lot of doubts on Tyson Fury, he proved me wrong.

Wilder atafute mtu mwingine apigane nae ili arudishe CONFIDENCE yake. Badae ajiandae kutetea ubingwa wake wa WBC.

Nangojea Fury V AJ

Sent using Jamii Forums mobile app

Fury atamdunda AJ kichapo cha mbwa mwizi.
 
Nani anamamlaka ya kukata aina ya kuingia ulingoni? Si bondia mwenyewe?
Tuachane na hili utetez dhaifu.

Wilder toka mwanzo alionesha kupoteza pambano huenda hakujipanga kikamilifu kumzuia furry alijiamini na konde lake la kulia maana hii ndio silah yake. Wilder ana konde zito la kulia huenda aliamini atamuotea moja furry na mechi iishe ila furry alijiandaa kikamilifu sana.

Kumfukuza kocha ni kumuonea maana jamaa round ya 8 tu asingemaliza salama angezima. Alishazidiwa.

Pambano la tatu liandaliwe limalize ubishe wa nguo nzito, sijui kocha kawah kurusha kitaulo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani anamamlaka ya kukata aina ya kuingia ulingoni? Si bondia mwenyewe? Tuachane na hili utetez dhaifu.

Wilder toka mwanzo alionesha kupoteza pambano huenda hakujipanga kikamilifu kumzuia furry alijiamini na konde lake la kulia maana hii ndio silah yake. Wilder ana konde zito la kulia huenda aliamini atamuotea moja furry na mechi iishe ila furry alijiandaa kikamilifu sana.

Kumfukuza kocha ni kumuonea maana jamaa round ya 8 tu asingemaliza salama angezima. Alishazidiwa.

Pambano la tatu liandaliwe limalize ubishe wa nguo nzito, sijui kocha kawah kurusha kitaulo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo lililopiganwa juzi ndiyo lilikuwa la kumaliza ubishi kati yao. Likiandaliwa lingine litakuwa ni la kupiga hela tu.
 
Hapa ndipo ngozi nyeusi tunadharauliwa kocha kamuokoa na kifo anamfukuza,angefia uwanjani ingakuwa poa sana
 
Hi mechi naisubir kwa hamu sana..namwamini AJ sana ila kwa furry iman kama inanitoka vile

Sent using Jamii Forums mobile app

Furyy kwa AJ ni cha mtoto, usimfikirie AJ aliyeotewa na Andy Luis mara ya kwanza bali mfikirie pale alipomtwanga Wladimir Klitschko au pale alipomtoa Andy Luis mara ya pili
 
Back
Top Bottom