Binafsi, nimesikitika kupigwa kwa bwana Wilder. Ukweli ni kwamba Fury was the best Fighter,I.e footwork, defence skills, ring IQ, Ring Confidence etc.
Wilder bado ana nafasi ya kuomba rematch ndani ya Siku 30 (kimkataba)
Ingawa nisingeshauri hili kwanza atulie, embarrassment ya aibu ipoe kwakweli I had a lot of doubts on Tyson Fury, he proved me wrong.
Wilder atafute mtu mwingine apigane nae ili arudishe CONFIDENCE yake. Badae ajiandae kutetea ubingwa wake wa WBC.
Nangojea Fury V AJ
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio mbeleko ya refa na kasi ndogo ya fury , wilder alikuwa anakaa raundi ya tatu. Kuna combo alipigwa raundi ya tatu mpaka wilder mtandao wake wa miguu ukayumba kabisa.
Hapana Tyson anakwenda tapika mkanda huu akikubali rematchPambano la tatu furry atamuua mbwa huyu mwache ajifanye
Sometimes shit just happens
Endelea Kuota mkuu mwisho utaonaHapana Tyson anakwenda tapika mkanda huu akikubali rematch
Huyu nae bora hata alivyodundwa.. ana umwakinyo flani hivi tantalila nyingi..
Hilo lililopiganwa juzi ndiyo lilikuwa la kumaliza ubishi kati yao. Likiandaliwa lingine litakuwa ni la kupiga hela tu.Nani anamamlaka ya kukata aina ya kuingia ulingoni? Si bondia mwenyewe? Tuachane na hili utetez dhaifu.
Wilder toka mwanzo alionesha kupoteza pambano huenda hakujipanga kikamilifu kumzuia furry alijiamini na konde lake la kulia maana hii ndio silah yake. Wilder ana konde zito la kulia huenda aliamini atamuotea moja furry na mechi iishe ila furry alijiandaa kikamilifu sana.
Kumfukuza kocha ni kumuonea maana jamaa round ya 8 tu asingemaliza salama angezima. Alishazidiwa.
Pambano la tatu liandaliwe limalize ubishe wa nguo nzito, sijui kocha kawah kurusha kitaulo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi mechi naisubiri kwa hamu sana. Namwamini AJ sana ila kwa furry iman kama inanitoka vile.Fury atamdunda AJ kichapo cha mbwa mwizi.
Sometimes shit just happens, hiki ndicho kilichomkuta mwamba.Endelea Kuota mkuu mwisho utaona
Arsenal hii ya England tena [emoji16][emoji16][emoji16]Worst excuse ever!
Just accept you got your ass whupped and move on to the rematch and make the necessary adjustments.
You can’t rely on power all the time.
Learn how to box and diversify your arsenal.
Hi mechi naisubir kwa hamu sana..namwamini AJ sana ila kwa furry iman kama inanitoka vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mwakinyo nae tunasubiri muda tu maana alishawaudhi mashabiki wa ndondi baada ya kumkebehi MatumlaHuyu nae bora hata alivyodundwa.. ana umwakinyo flani hivi tantalila nyingi..