Baada ya kipindi cha msoto wa muda mrefu hatimaye ndoto imekuwa kweli

Baada ya kipindi cha msoto wa muda mrefu hatimaye ndoto imekuwa kweli

Duh

Mpaka umefikia level ya kununua hizi gari sidhani kama kigezo cha mafuta ni ishu tena!

Kama unaulizia ulaji wa mafuta mkuu nadhani kuna steji ya maisha umeruka umevamia hii...

Hizi gari ni za high end...Ulaji wa mafuta inatakiwa isiwe hoja ya kuzungumzia kabisa!
[emoji23] [emoji23] jamaa ameweka cc 2700 ,2500 halafu anaulizia ulaji wa mafuta Upo vip
.... Tumpe miezi 6 tu ataanza kuulizia bei za mikebe
 
Chukua Discovery mkuu,

Hizi gari ni imara sana hasa kama unatumia roughroads Mara kwa Mara.

Spea zake kwa sasa zinapatkana kwa urahisi.

Suala LA mafuta sio LA kuwaza kabisa,

Maana haiingii akilini ukanunue gari ya zaidi ya mil35 afu ushindwa mafuta ya sh.2200.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mbwembwe kijana. Chukua vitz new model. Hata ulaya na marekani mnakoiga kila kitu wananunua Sana vitz. Mm yangu naitoa Leo bandarini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi ulivyo smart, Umevaa suti na umenyonga tai

Kisha mkononi umening'niza funguo za Gari.

Ghafla,
Unakuta kumbe gari yenyewe ni Vitz[emoji23] [emoji23] [emoji41]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] jamaa ameweka cc 2700 ,2500 halafu anaulizia ulaji wa mafuta Upo vip
.... Tumpe miezi 6 tu ataanza kuulizia bei za mikebe
Anafurahisha genge tu maskini


Sent from my SM using Tapatalk
 
Back
Top Bottom