Baada ya kipindi cha msoto wa muda mrefu hatimaye ndoto imekuwa kweli

[emoji23] [emoji23] jamaa ameweka cc 2700 ,2500 halafu anaulizia ulaji wa mafuta Upo vip
.... Tumpe miezi 6 tu ataanza kuulizia bei za mikebe
 
Chukua Discovery mkuu,

Hizi gari ni imara sana hasa kama unatumia roughroads Mara kwa Mara.

Spea zake kwa sasa zinapatkana kwa urahisi.

Suala LA mafuta sio LA kuwaza kabisa,

Maana haiingii akilini ukanunue gari ya zaidi ya mil35 afu ushindwa mafuta ya sh.2200.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mbwembwe kijana. Chukua vitz new model. Hata ulaya na marekani mnakoiga kila kitu wananunua Sana vitz. Mm yangu naitoa Leo bandarini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi ulivyo smart, Umevaa suti na umenyonga tai

Kisha mkononi umening'niza funguo za Gari.

Ghafla,
Unakuta kumbe gari yenyewe ni Vitz[emoji23] [emoji23] [emoji41]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] jamaa ameweka cc 2700 ,2500 halafu anaulizia ulaji wa mafuta Upo vip
.... Tumpe miezi 6 tu ataanza kuulizia bei za mikebe
Anafurahisha genge tu maskini


Sent from my SM using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…