Baada ya Kitabu cha Shujaa Kabendera, CHADEMA na Familia ya Ben Saanane ni lini watatangaza Maombolezo na Mazishi ya Kiroho ya Kijana huyo?

Baada ya Kitabu cha Shujaa Kabendera, CHADEMA na Familia ya Ben Saanane ni lini watatangaza Maombolezo na Mazishi ya Kiroho ya Kijana huyo?

Rest in eternal peace Mama yake Kabendera.
Rest in eternal peace Ben Saanane.
 
Bila shaka yoyote ile sasa ni dhahiri kwamba Ben Saanane alikwishauawa kikatili, na ni dhahiri kwamba Maiti yake ilitupwa (Rejea Kitabu kinachouzwa kwa kasi cha shujaa Kabendera)

Ninaamini kwenye dini zote upo utaratibu wa kuwazika kiroho Marehemu ambao wamethibitika kufariki lakini Miili yao haikupatikana, kwa maana ya kufa kwa ajali ya moto ama kuliwa na Mamba au hata majanga mengine yanayoweza kusababisha mwili wa marehemu kutopatikana.

Ndio Maana nimeuliza ni lini Chadema pamoja na Familia ya Marehemu Ben Saanane itaitisha kusanyiko kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho za hayati huyo ambaye sasa imethibitika kwamba Hatunaye.

Namuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho yake, Amina.
Wewe ni mjinga kweli. Shujaa? Yaani mtu mpumbavu kama wewe anawezaje kuwa shujaa.?
 
Chadema ipi tena kamanda.
20250105_150615.jpg
 
Back
Top Bottom