ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Naendelea kuwakumbusha tuu
Tajiri Bill Gate alishindwana na Mke Wake.
Putin alishindwana na Mke wake
Na huu mwaka huenda kishindo kikawa Kwa bwana Obama.
Na vile hana Watoto hata wa Kiume,Obama atalia sana 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFKWEOMM8-z/?igsh=eW42b2k0OXJxM3pz
My Take
Hao watu hawawezekaniki ,muulizeni aliyejifanya kufundisha Ndoa DK.Mwaka 😁😁
Pia soma Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote