Baada ya Kocha Guardiola Kupeana Talaka na Mke Wake,Huenda Sasa Ikawa Zamu ya Obama.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Naendelea kuwakumbusha tuu

Tajiri Bill Gate alishindwana na Mke Wake.

Putin alishindwana na Mke wake

Na huu mwaka huenda kishindo kikawa Kwa bwana Obama.

Na vile hana Watoto hata wa Kiume,Obama atalia sana 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFKWEOMM8-z/?igsh=eW42b2k0OXJxM3pz

My Take
Hao watu hawawezekaniki ,muulizeni aliyejifanya kufundisha Ndoa DK.Mwaka 😁😁

Pia soma Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote
 
Nothing new!
 
Dah bora aisee

Mwamba yuko marketable sana Halafu Yule mama Ana sura ngumu kama tandu
 
Hiyo heading kwenye habari ya Tyrese inachekesha!

"Kuangua kilio kikali" si mchezo!

Nikiwaza hiki kimkebe changu hata kikikwaruzwa tu na watoto naumia ndiyo kipigwe bei kugawana na Mpuuzi mmoja hivi.

Over my dead body!!
 
Naendelea kuwakumbusha tuu

Tajiri Bill Gate alishindwana na Mke Wake.

Putin alishindwana na Mke wake

Na huu mwaka huenda kishindo kikawa Kwa bwana Obama.

Na vile hana Watoto hata wa Kiume,Obama atalia sana 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFKWEOMM8-z/?igsh=eW42b2k0OXJxM3pz

My Take
Hao watu hawawezekaniki ,muulizeni aliyejifanya kufundisha Ndoa DK.Mwaka 😁😁

Pia soma Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

Mke wa Obama hilo lipo dhahiri
 
Nilishangaa pia na Obama alikuwa kachoka sana ni basi tu protocol zilimbana
Kwa Ile ego ya Michel sitashangaa wakipeana talaka
Code ya kuishi na mwanamke hata awe Mke ,mchukulie poa Kwa Kila kitu
 
Back
Top Bottom