ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
ndo tushaonaTeam Kataa Ndoa wasione hii
Nothing new!Naendelea kuwakumbusha tuu
Tajiri Bill Gate alishindwana na Mke Wake.
Putin alishindwana na Mke wake
Na huu mwaka huenda kishindo kikawa Kwa bwana Obama.
Na vile hana Watoto hata wa Kiume,Obama atalia sana ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DFKWEOMM8-z/?igsh=eW42b2k0OXJxM3pz
My Take
Hao watu hawawezekaniki ,muulizeni aliyejifanya kufundisha Ndoa DK.Mwaka ππ
Pia soma Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote
Dah bora aiseeNaendelea kuwakumbusha tuu

Tayari shoka limemkuta mkamatajiπππTeam Kataa Ndoa wasione hii
Huendi mbinguni aise ila maza kanyata kweliDah bora aisee
Mwamba yuko marketable sana Halafu Yule mama Ana sura ngumu kama tandu
Unamsema Michael πDah bora aisee
Mwamba yuko marketable sana Halafu Yule mama Ana sura ngumu kama tandu
TUMEONA πTeam Kataa Ndoa wasione hii
Mke wa Obama hilo lipo dhahiriNaendelea kuwakumbusha tuu
Tajiri Bill Gate alishindwana na Mke Wake.
Putin alishindwana na Mke wake
Na huu mwaka huenda kishindo kikawa Kwa bwana Obama.
Na vile hana Watoto hata wa Kiume,Obama atalia sana ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DFKWEOMM8-z/?igsh=eW42b2k0OXJxM3pz
My Take
Hao watu hawawezekaniki ,muulizeni aliyejifanya kufundisha Ndoa DK.Mwaka ππ
Pia soma Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote
Code ya kuishi na mwanamke hata awe Mke ,mchukulie poa Kwa Kila kituNilishangaa pia na Obama alikuwa kachoka sana ni basi tu protocol zilimbana
Kwa Ile ego ya Michel sitashangaa wakipeana talaka