Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nimeweka picha mkuuBilia picha
Eti uchafu, kipi cha maana umewahi kubuni?Uwanja ule ni temporary tu. Na haujatengenezwa kwa mfumo wa muda mrefu. Ni uchafu ule.
Na dunia ndio umeita ule ni unique. Nothing unique.
Hata wewe umependa tu macontena.
Kumaintain ule uwanja utahitaji pesa nyingi sana. Ni bora kubomolewa baada ya siku hizi 28 za michuano.
Sina maana hyo dunga embe. Sina maana hiyo.Eti uchafu, kipi cha maana umewahi kubuni?
Hivyo vyuma Chakavu vije kwani hatuna hayo Mabox TanzaniaStadium 974 ni uwanja ambao baada ya world Cup utabomolewa kwa nini vilabu vyetu visilobby deal ya kuununua.
Unapendeza kweli na umejengwa kwa makontena tu.
View attachment 2426470
Eti uchafu, hapo hata formula ya kutengeneza kiberiti hujui.Sina maana hyo dunga embe. Sina maana hiyo.
Samahani mjua formula tajiri kabisa, huna baya.Eti uchafu, hapo hata formula ya kutengeneza kiberiti hujui.
Acha ujuaji toa pongezi fikiria ile nchi jinsi ilivyo size yake na vitu vingine walichokifanya ni sahihi sana au wenzetu hamfuatilii mambo ya nchi nyingine ?Samahani mjua formula tajiri kabisa, huna baya.
Nisamehe mimi nisie na ujuzi.
Ila huo uwanja ni uchafu. They used recyclable materials just to prove something na hawana nia nao kuendelea nao. Sasa tuliza mshono tajiri.
Walichokifanya ni kweli sahihi. Tunafatilia sana nchi hizo. Mtoa thread anataka watu waige huo mfano. Huo uwanja. Luck of space imewafanya jamaa kubuni kutengeneza temporally structure. Hivo ajue hatuwezi sema timu zetu zitengeneze kitu kama hiko. Udogo wa Qatar, ukubwa wa michuano. Kumefanya wabunifu waje na very small affordable technology. Watu ndio mnakuza stry. Kwao qatar hiyo ni taka taka tu.Acha ujuaji toa pongezi fikiria ile nchi jinsi ilivyo size yake na vitu vingine walichokifanya ni sahihi sana au wenzetu hamfuatilii mambo ya nchi nyingine ?
Kwa hiyo recyclable materials ni uchafu? Dunia ya tatu kila kitu hovyo halafu ujuaji mwingi.Samahani mjua formula tajiri kabisa, huna baya.
Nisamehe mimi nisie na ujuzi.
Ila huo uwanja ni uchafu. They used recyclable materials just to prove something na hawana nia nao kuendelea nao. Sasa tuliza mshono tajiri.
Ni uchafu kwasbabu. Zinatumika na kuzungushwa tena kutumika baada ya matumizi. Kwa udogo wa nchi. Mambo muhimu ya maendeleo. Hawawezi baki ma uchafu huo. Elewa, walitengeneza huo uwanja kwa hitaji tu la kutumika kwa kombe la dunia si uwanja permanent. Sasa lazma utoke na eneo hilo lirudi kwenye matumizi yake ya kawaida. Alafu acha utoto wako wa shule sijui dunia ya tatu ukiwa mtandaoni.Kwa hiyo recyclable materials ni uchafu? Dunia ya tatu kila kitu hovyo halafu ujuaji mwingi.
Kua mkweli bana, mnataka mtumie hayo makontena kufichia Ngada!I wish timu yangu ya Simba ingeununua halafu ndo tuufanye uwe uwanja wa nyumbani.. halafu tukicheza derby na yanga wakati akina kibwana shomari wanashangaa macontena ya uwanja John bocco anajipigia hat trick hukooo.... I wish ndoto hii iwe kweli.
Ndoto haitakiwi kuzidi sekunde 5.I wish timu yangu ya Simba ingeununua halafu ndo tuufanye uwe uwanja wa nyumbani.. halafu tukicheza derby na yanga wakati akina kibwana shomari wanashangaa macontena ya uwanja John bocco anajipigia hat trick hukooo.... I wish ndoto hii iwe kweli.