Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 706
- 1,425
Kikubwa mpunga uwe unaingia hamna shida.Kua mkweli bana, mnataka mtumie hayo makontena kufichia Ngada!
Unadhani hatujakushtukia?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa mpunga uwe unaingia hamna shida.Kua mkweli bana, mnataka mtumie hayo makontena kufichia Ngada!
Unadhani hatujakushtukia?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Labda anatumia free mode haoni pichaNimeweka picha mkuu
Nadhani utakuwa ni cheap na ugumu wa makontena utadumu sana tu pia ni rafiki wa mazingira maana unahamishika pale mtakapohitaji kufanya hivyo!I wish timu yangu ya Simba ingeununua halafu ndo tuufanye uwe uwanja wa nyumbani.. halafu tukicheza derby na yanga wakati akina kibwana shomari wanashangaa macontena ya uwanja John bocco anajipigia hat trick hukooo.... I wish ndoto hii iwe kweli.