I wish timu yangu ya Simba ingeununua halafu ndo tuufanye uwe uwanja wa nyumbani.. halafu tukicheza derby na yanga wakati akina kibwana shomari wanashangaa macontena ya uwanja John bocco anajipigia hat trick hukooo.... I wish ndoto hii iwe kweli.
Nadhani utakuwa ni cheap na ugumu wa makontena utadumu sana tu pia ni rafiki wa mazingira maana unahamishika pale mtakapohitaji kufanya hivyo!
GSM na MO DEWJI kazi kwenu pia wakiupata SBS Itapendeza sana ukawekwa pale singida ukachangamsha pande hizo.