Wakifika nchini. Wapelekwe mapumziko Serengeti kabla hawajaenda huko UturukiBaada ya wasanii kutoka Korea Kusini walipoenda kimafunzo, inafaa waunganishs kwenda Uturuki kujifunza zaidi kutoka Kwa Watengenezaji filamu duniani
Wao wanawapeleka wasaniii 😄Chukua maelfu ya vijana waliomaliza veta course mbalimbali peleka China, Japan, Korea German nk wakaongeze maarifa ya hand-crafting, vitu kama autocad, solidworks nk utakuwa umetoa ajira nyingi sana Kwa vijana.
wanaandaliwa ajili ya kampeniBaada ya wasanii kutoka Korea Kusini walipoenda kimafunzo, inafaa waunganishs kwenda Uturuki kujifunza zaidi kutoka Kwa Watengenezaji filamu duniani
Hao wanaandaliwa ajili ya kampeni 2025Mna hangaika na wasanii
Bora hata mngewapeleka wasanii wa kaole huko,wasanii original
Mnawapeleka walamba lips na wadangaji huko
Ova