Baada ya Korea, wasanii wapelekwe Uturuki kujifunza zaidi

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Baada ya wasanii kutoka Korea Kusini walipoenda kimafunzo, inafaa waunganishs kwenda Uturuki kujifunza zaidi kutoka Kwa Watengenezaji filamu duniani
 
Attachments

  • download (13).jpeg
    download (13).jpeg
    9.2 KB · Views: 6
  • download (12).jpeg
    download (12).jpeg
    10.5 KB · Views: 6
  • 5767137-b7e9c2aad004cd7dd808d6ad4f4f1c5f.mp4
    7 MB
Chukua maelfu ya vijana waliomaliza veta course mbalimbali peleka China, Japan, Korea German nk wakaongeze maarifa ya hand-crafting, vitu kama autocad, solidworks nk utakuwa umetoa ajira nyingi sana Kwa vijana.
 
Baada ya wasanii kutoka Korea Kusini walipoenda kimafunzo, inafaa waunganishs kwenda Uturuki kujifunza zaidi kutoka Kwa Watengenezaji filamu duniani
Wakifika nchini. Wapelekwe mapumziko Serengeti kabla hawajaenda huko Uturuki
 
Chukua maelfu ya vijana waliomaliza veta course mbalimbali peleka China, Japan, Korea German nk wakaongeze maarifa ya hand-crafting, vitu kama autocad, solidworks nk utakuwa umetoa ajira nyingi sana Kwa vijana.
Wao wanawapeleka wasaniii 😄
Wasanii wenyewe usanii wenyewe
Wame force tu

Ova
 
Back
Top Bottom