Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa!! Yaani.Hiyo kanuni inafanya kazi sana huku vijijini. Vi mmagufuli vingi sasa hivi vipo darasa la kwanza.
Kwa hivyo 2025, vi covid, sanitaiza, nyungu vitaanza shule, sasa hivi bado vinanyonya.
Na wazazi wao hawajali wala nini.