Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

Nyumba na gari vyote Ni liabilities tu.
Labda useme ipi ndio liability yenye nafuu.
acha bas....nyumba ni liability ???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
 
Gari na nyumba vyote ni asset hamna liability hata moja hapo
At least nyumba unaweza ukaiita asset cause hata baada ya miaka thamani itapanda tu
Ila gari Ni liability tu na its never an asset to me.
Hilo gari unalilipia Mafuta na matunzo maada ya miaka 20 thamani yake iko wapi??
 


Fela aliwajengea nyumba na akawakabidhi. Sasa kati ya aliyewajengea nyumba na aliyemnunulia gari ni nani mwenye msaada? Kati ya nyumba na gari ipi ni asset na ipi ni liability?
Nyumba zenye we mbona hayo imeamdikwa jina la Fella?
 
Ivi fella aliwakabidhi zile nyumba alisemaga kawajengea au team fisi kawapigisha watoto watu show mpaka ulaya
 
Yaani,kwa mtu anayejua upuuzi huu hawezi kuusifia.Pata unachohitaji kwa mwanamke halafu achana naye ,unaoa ili upate nini?

alafu raha ya kutokuoa unapata ukitakacho...ukitaka black and fat unapata..ukitaka ebony unapata.ukitaka slander

ukitaka mtoto unapata
 
Mi sidhani kama Fella ni mnyonyaji kihiivyo kama watu wanavyosema isipokuwa labda mchizi anapiga % kubwa au anaenda 50 -50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…